DOTTO JASSON BAHEMU USO KWA USO NA  DKT SAMIA.

By admin Oct 16, 2025

Kijana kutoka Murugarama Ngara aliyejinyakulia kura nyingi kwenye mchakato wa Kura za Maoni ndani ya CCM sasa anakwenda kuipeperusha bendera ya Ngara. 

Doto Bahemu akipokea Ilani kutoka kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Kwenye uwanja wa Innocent Bashungwa katika mji wa Kayanga-Karagwe

Mgombe ubunge, jimbo la Ngara Doto Bahemu akihutubia umati wa wana ccm huko Karagwe.

Mgombe ubunge, jimbo la Ngara Doto Bahemu akihutubia umati wa wana ccm huko Karagwe.

Mamia ya wana CCM waliokuja kumpokea Dr. Samia Suluhu

By admin