Erick Nampesya Afariki

By admin Aug 7, 2025
Mwana Ngara wa Kwanza kutanga na BBC na kuiheshimisha Ngara na kuwatamanisha vijana wengi kurukia taaruma ya uandishi wa habari. RIP kaka yetu, kiongozi wetu Erick Nampesya

Wana Ngara tumepoteza tunu, wana Ngara tumepote taa iliyoangaza kuwa inawezekana kuwa maisha mazuri katika fani ya uandishi. Erick Noah Nampesya amefariki dunia ila ataendelea kuishi kwenye mioyo ya watu wengi.

Erick Nampesya ni mtu wa Nyamiaga na kwa sasa taratibu za mazishi zinaandaliwa. Kusafirisha mwili wake kutokea Dar hadi kwenye nyumba yake ya milele kunahitaji zaidi ya hela kutoka kwa jamii iliyomzunguka. Kama una mkono wa pole na rambirambi, basi elekeza mchango kwa nambari 0762-955-343 . Jina ni Christina Noah Rusage.

Bwana ametwaa, ashukuliwe kwa yote.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *