Usiku wa Pasaka! April 04,2026 katika Ukumbi wa New Moorland Premium Hotel mjini Ngara umekuwa wa kihistoria. Burudani juu ya burudani.
Katika kinyang’ayiro hicho kilichohusisha warembo 11, mshindi wa kwanza aliibuka na zawadi ya kitita cha Shilingi million 1, mshindi wa pili shilingi laki 5,na mshindi wa tatu laki 2 na nusu.
picha nyingine na matukio utaendelea kuyapata hapa www.ngaratv.com

