IGITI CHUMURINZI

By Na Mwandishi Jun 6, 2026

Huu ni mti wenye historia kubwa Wilayani Ngara. Mti huu unaitwa Umurinzi (Mlinzi).

Watoto,Vijana hata watu wazima waliutumia mti huu kuchonga vinyago,zana mbalimbali zikiwemo Pikipiki za miti ambazo watu wenye asili ya Ngara hasa Wahangaza na washubi waliziita Ibhipikipiki.

Mti huu,upo kijijini Mukarehe kata ya Kanazi.

Picha na Juventus Juvenary Illambona