Huu ni Ugonjwa gani?

By Na Mwandishi Jun 6, 2026


Wataalam wa kilimo, tusaidieni. Tofauti na Ugonjwa wa mnyauko ambao umezoeleka ndizi hii ilikuwa ya kijani kabisa. Polepole ilianza kubadilika na kuwa kama inavyoonekana.

Mgomba huo na ndizi yake, picha imepigwa Kijijini Buhororo Wilaya ya Ngara.