MUONEKANO WA NGARA

By Na Mwandishi Nov 21, 2025
Hali ya HewaLeo tarehe 11, mwenzi wa 12 makwa 2025, ni siku yenye ukungu mzito. Tukiwa tunaana mwaka 2025 na kukaribisha mwaka mpya wa 2026, tunawatakia wana Ngara siku kuu njema na safari zenye salama hasa muda huu wenye pilika pilika za sikukuu.

Hapa ni Kanazi, Hali ya Ukungu

Hali ya Hewa
Hali ya Hewa
Muonekano wa Kanazi, Barabara kuu itokayo Ngara Mjini kuelekea Kabanga. Picha hii imechukuliwa mbele ya Shule ya msingi Kanazi, leo tarehe 11 mwezi wa 12, mwaka 2025.

Ndugu mtazamaji, kama ungependa kutushirikisha kwenye shughuli yako, iwe ni birthday party, ubatizo, ama sherehe zozote za siku kuu ama pengine ku dedicate mtoto kanisani, basi usisiste kutushirikisha. Tunapatikana katika ofisi za simamia tv zilizopo Kabanga. Kwa elfu 20 tuu unaweza kutangaza nasi, kutuma salam kwa ndugu na jamaa.

Tunapatakana kwa simu nambari 0748-632-022

Tuendelee kuwa pamoja.

Timu nzima ya Simamia Media Group na viunga vyake, tunakutakia sikuu njema na kheri ya mwaka mpya.