Leo ni Jumatano, Oktoba 29,2025. Watanzania wanashiriki zoezi la upigaji Kura kuchagua viongozi wakiwemo Madiwani, Wabunge na Rais.

Nimepiga Kura kituo cha Buhororo