Tukiho hilo lilitokea tarehe 7 mwezi wa 9 huko Wilayani Ngara ambapo anayetarajia kuanza muhura mwingine kama Diwani wa kata ya Kabanga, Mheshimiwa Hafidhi alishindwa kujizuwia na kusogea mbele na kuanza kucheza.
Diwani Hafidhi kwa sasa anawania kiti cha uwenyekiti wa Halimashauri wa Wilaya ya Ngara. Haika kazi zake kwenye jimbo lake, Kata ya Kabanga, hazina doa na atakua mwenyekiti mzuri wa baraza la Halmashauri.
Ifatayo ni vidio Mheshimiwa Hafidhi wa Kata ya Kabanga. Kubunguka kugusa subscribe ili upate habari mbali mbali kutoka Ngara.

