Kumbe Kinachowakimbiza Wasaidizi wa Mbunge Ni Mishahara!
Nikipiga stori na mchizi wangu mmoja pale Kenga anasema si takwa la kisheria kwa Mbunge kulipa moja kwa moja wahudumu wake binafsi kama katibu, msaidizi wa ofisi au dereva. Kwamba Katika mfumo wa kisheria na kiutawala nchini Kenya ,watu kama wahudumu wa Mbunge walioko katika ofisi ya bunge au walioteuliwa rasmi kupitia Bunge hulipwa na Serikali kupitia mfuko wa Bunge, si na Mbunge binafsi.
Sasa kweru ni tofauti. Wote walioko Ofisini kwake tumeajiriwa ndiyomaana anaguchukukia poa tu……(Jina kapuni).
Juzi moja ya group ya Ngara kuliwaka
baada ya katibu wa mzee Ndayisaba Ruholo kutimiza miezi kadhaa bika kumlipa katibu wake Mr. Ruhubu Enest! Moto ulipokolea saa 9 usiku Mheshimiwa akamsongeshea mshiko kwa simu,weeeee!
Stori ni nyibgi kwa boss kutolipa watumishi wake ofisini na kiwanda. …..mbona wengi walitema mzigo na kukimbia? (Swahiba wake).
Madereva,katibu,mlinzi wote walitembea!!!
Wakati mwmbo yanakuwa ya
, profesa mmoja akaandika hivi……..
Watu 6 waliong’atwa na kupulizwa hapo hapo na Ruhoro halafu !
1.Conrad na wenzake~hawa walimuimba vibaya akawashughulikia
2.Manyaga~Alinyimwa maslahi yake aliyokuwa akimdai baada ya kumwanika mitandaoni akalipwa maslahi yake yote.
3.Josias Charles ~Alinyimwa posho ya milioni 1 kutoka kwake ilihali alikuwa kamuahidi hela ikitoka atampatia,hela ilivyotoka ikaelekezwa mgodini,Josias akasema usinitanie naondoka
4.Juventus Juvinary~huyu alikuwa Katibu wa Mbunge,inasemekana aliingia kwenye hii nafasi na shauku kubwa ya kuvuna mafanikio lakini aliondoka kama alivyoingia
5.Selemani Bunzia~Huyu alipewa laki 5 ya kununua vigae baada ya kuzingua akaanikwa kwa slip ya CRDB kwenye magroup yote.
6.Huyu ni ERNEST RUHUGU,katibu wa mbunge ambaye see more….!
Tusubili na kuona