Ngara TV iko Imara, Haijadukuliwa, Imerudi

By admin Mar 8, 2024

Mchezo unaofanyika ni kudanganga, sawa na kujitekenya na ulachela mwenyewe. 

Aliyeuza Cheni bandia kapewa Pesa Bandia. Watoto wa mjini wanaiita Ngoma droo

Maswali mengi kinoma yanabaki kwa watu kujiuliza nani kweli kati ya Mkurugenzi aliewauza wenzake au Wakurugenzi halali waliouzwa?

Tangazo la kudukuliwa kwa website hii ni upuuzi balaa. Ni sawa na mwizi aliyezoea kuiba siku akikosa mtu wakuibia atajijbia mwenyewe. Yaani anaweza kujiibia mfukoni wa kulia, akahamishia mfukoni wa kushoto.

Itadukuliwa na iendelee kufanya kazi?   Hapo tuamini nini????

Nani mjanja kati ya mwizi na Kibaka?

NGARA TV IKO IMARA, HAIJADUKULIWA.

Mchezo unaofanyika ni kudanganga, sawa na kujitekenya na ulachela mwenyewe. 

Aliyeuza Cheni bandia kapewa Pesa Bandia. Watoto wa mjini wanaiita Ngoma droo

Maswali mengi kinoma yanabaki kwa watu kujiuliza nani kweli kati ya Mkurugenzi aliewauza wenzake au Wakurugenzi halali waliouzwa?

Tangazo lililotoka kwa waliovamia Ngara tv na kujimilikisha, leo wanadai walichoparamia na kujimilikisha – kimeibiwa. Kimeibiwa wakiwa wapi? Walikipataje? Na kwa nini kiibiwe? Kama wanaweza kupoteza kitu kikubwa kama website, wanawezaje kuaminiwaje na jamii kutafuta na kuleta habari nyeti ama kuwa mdomo wa jamii? Kuna uvivu unaosameheka ila kwa hiki kilio wanachosambaza, wakajipange upya. Ngara TV ipo imara na imerudi kwa wenyewe.

Tangazo la kudukuliwa kwa website hii ni upuuzi balaa. Ni sawa na mwizi aliyezoea kuiba siku akikosa mtu wakuibia atajijbia mwenyewe. Yaani anaweza kujiibia mfukoni wa kulia, akahamishia mfukoni wa kushoto.

Itafudukuliwa na iendelee kufanya kazi?   Hapo tuamini nini????

Nani mjanja kati ya mwizi na Kibaka?

Ngara TV iko imara na gusa link ifatayo ku subscribe!!! Million 4 Zilipwe kwa Kwa Aliyeshindwa Kuonyesha Mafanikio Kazini – YouTube

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *