REFA WA KOMBE LA DUNIA 2026 HUYU HAPA

By Na Mwandishi Jul 17, 2026

Huyu ndiye mtu atakayekuwa na jukumu la kuamua historia itakavyoandikwa duniani!
Refa Slavko Vinčić kutoka Slovenia ndiye atakayechezesha fainali ya Kombe la Dunia 2026 kati ya Argentina na Hispania (Spain).


FIFA imemtangaza rasmi kuwa ndiye atakayesimamia pambano hilo la kihistoria litakalopigwa Julai 19, 2026 katika Uwanja wa MetLife Stadium, New York, New Jersey, Marekani.


Uamuzi wake ndani ya dakika 90 unaweza kuamua nani ataondoka akiwa bingwa wa dunia na kuandika historia mpya ya soka duniani.