UPINZANI TAFUTENI HOJA SIYO KUMPONDA MBUNGE

By admin Mar 23, 2024
Kulingana na taarifa kutoka kwa Media Conference iliyofanywa na Ofisi ya Chadema Ngara, Bendera ya Chadema iliiteremshwa na kuibiwa na watu saiojulikana.

Nawasalimu wote mliofunga Kwaresma, na Ramadan nikiamini kuwa mnaendelea kuwa na Imani na Chombo chetu www.ngaratv.com

Baada ya Salamu, Sasa niwakumbushe jambo la muhimu baada ya Tangazo la kudukuliwa mtandao wetu. 

Nimeona taarifa za vyombo vinavyotupinga na kumponda Mbunge wetu kwamba anaendesha Siasa mbaya Ngara.

Hivi kwanini wakimbilie kulalamika tu?

Walisema Mbunge ananunua wapinzani, anatishia Demokrasia na kuhusishaka kwenye kung’oa bendera kwa Ofisi ya a CHADEMA pale Ngara mjini.

Ni lini Mbunge wetu alifika pale?

Alihusika na nani?

Mimi Binafsi naomba watuandalie mijadala ya wazi, ili Mbunge aje kujibu TUHUMA. Kama sivyo basi ni uwongo, na wanadhalilisha na kama haitoshi wajichunguze kabla hatujaanza kuwawashia moto. 

Sisi tuna kijana makini, anasikilizia watu wa kila aina. Na Ngara itamlinda kwa gharama zozote, Viongozi wote wa Chama na Serikali anao yeye. 

Inyeshe mvua, jua liwake utaona tu, Msemakweli wa Mungu

Bendera ya Chama ya Chadema imeteremswa na kuibiwa na watu wasio julikana. Maelezo kamini yanapatikana kwa kugusa link ifatayo: https://youtu.be/92EffoWg38I?si=1O9RVfpCsgB5utuK ama tazama video kamili iliyopo mwishoni mwa makala hii.

Na kwambia jamaa ni noma wewe. Kuna wazee wamejipanga kuja kugombea wataaibika, na kila mipango inayofanyika jamaa anaijua. Hao wajipange tuu ila mikakati yote tunaijuia na hatutowaachia hivi hivi. Mnajifanya mnauzoefu kutoka huko mlipozehekea na mnadhani ujio wenu Ngara ndio itakua mteremko. Mjipange kivingine, mjipange upya. Na huyo Bitariho wenu mnayemsikiliza asifike tuu humu ndani, akifika atakiona, vijana tumejipanga kisawa sawa. Muachae aendelee kuandalia mkeka hao wenye mamvi ila anawadanganya tuu kwani nguvu tunazao, na zikihitajika silaha zipo pia.

Siku ya leo naishia hapa ila nitarudi baadae.

Media Conference: Bendera ya Chadema – Ngara kuibiwa:

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *