Ndugu zangu, hakuna asiejua kwamba tulichukua madaraka kwa gharama kubwa.
Kila atakaejaribu kukwamisha tutamtoa kwa gharama yoyote.
Hili Jimbo tutaliongoza kwa zaidi ya miaka 20 au zaidi na atakae jaribu kutukwamisha, tutakula nae sahani moja.
Wapo watu kila kukicha wanawaza Ubunge. Sasa nawaomba mkae mkao wa kula. Mimi niko na nyingi nitawapa hela na ma magari.
Kama ni vyombo mnavyo, mnataka nini? Hivi mnanielewa kweli?