ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

By Na Mwandishi May 14, 2026

Mtoto Greshen Leonard Katurebe anahitaji msaada.

Ana umri wa miaka 20,mwanafunzi wa Kidato cha 4 Shule ya Sekondari Mubusoro-Rulenge.

Alichomwa na kitu kisichojulikana mguuni hali iliyopelekea kupata maambukizi. Hali ya familia ni duni, Ndugu jamaa na marafiki wamejaribu kumsaidia kupata matibabu kuanzia Rulenge,Nyamiaga,Seokuoture na sasa Bugando.

Mpaka sasa anahitaji kupata Dripu 3 za Protini, kila Dripu ni shilingi 350,000/=, na kufanyiwa upasuaji kupandikizwa nyama.

Amelazwa katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza.

Mawasiliano: Mwl Devotha Cornatus Kakoko
0752887127