
- Aitaka Ngara Farmers kutanguliza maslahi ya wananchi na wakulima mbele katika utekelezaji wa majukumu yake.
- Aahidi kuongeza nguvu katika kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili Ngara Farmers ili kuboresha huduma kwa wanachama.
- Asisitiza usimamizi madhubuti wa ugawaji wa miche ya kahawa ili kuhakikisha inawafikia wakulima walengwa kwa haki na uwazi.
- Autaka uongozi kuwawajibisha wote wanaokwamisha maendeleo ya chama, hususan wanaosababisha madeni yasiyo ya lazima na wanaojihusisha na ubadhirifu wa rasilimali.



