NGARA KUPATA UHAKIKA WA MAJI

By Na Mwandishi May 19, 2026

Huenda changamoto ya Ukosefu wa Huduma ya maji Safi kwa Wananchi wa Vijiji vya Nakatunga na Buhororo ikaisha kabisa baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Tenki hilo linaloendelea kujengwa Ngara mjini.