Ukizinguwa Tunakuwasha

By admin Mar 25, 2024

Ubunge tuliutafuta kwa gharama kubwa na Pesa nyingi. Niwahakikishie, mtu wa Kuja kutunyang’anya Ubunge ajipange kwelikweli, tena ajipange…. Mnanielewa? …. 

Mara nyingi Mbunge wetu anasisitiza tuungane. Ndiyo maana kila anaetuzinguwa tunamuwasha kweli kweli. 

Walishakuwepo wengi tukawatimuwa. Tunafyeka mpaka mizizi.

Kuna watu wanajidai kuwa ngangali na wengine wanakula na kushiba huko Ulaya. Kama yule mmoja anaewadanganya wale jamaa.. “we unaona tunawashirikisha mambo yetu? 

Walijaribu ku hack na kuiba website yetu nikairudisha.  Haki ya mama, wale nitawanyoosha. Mimi ni moto wa kuotea mbali maana mimi sikukulia humu Ngara ambapo watu wanajiogopa ogopa. Ndaisaba mwenyewe ananiogopa. Acha kabisaaa.

Bitariho anawadanganya. Watu hawana uwezo kuendesha hata Passo, leo waseme kitu gani? Mtaona.

Mimi ndio boss wa kila kitu, na kufika 2025 mtaniambia.

Sikiliza, sasa hivi tutakuwa na vikundi muhimu. Kila eneo watakapokuja tunawapiga mawe, tunawazomeya na kuwapigia picha mpaka wakimbiye.

Sisi haturali. Magali yako sawa sawa na yaliyo mabovu tutayatengeneneza ili tuweze kufika kila heneo. Mbunge wetu atatuvusha, na ameanza kuwarudisha wahasi. Hata wa Arusha wote watakuja tuu.

Tuna mpango wa kuvitimuwa vyote na MITAMBO Kuna watu wanakuja wapya kabisa. 2025 tutavunja mwiko

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *