Msaliti ni mwenyekiti wa Vijana CCM, Wilaya ya Ngara

By admin Apr 14, 2024

MWENYEKITI WA VIJANA CCM WILAYA YA NGARA NI MSALITI Wallah, dhambi ya ubaguzi usaliti na uzandiki haitawaponya hawa wapuuziiti. amini usiamini ila nakupa sure dada yangu nielewe vizuri. wakati taarifa za awali zikianza kufika Ngara kuwa mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ngara anakutana mara kwa mara na kufanya mazungumzo na Tundu Lissu wa CHADEMA baadhi walichukulia taarifa hizo kama uzushi.Ni siku ya pili sasa magroup mengi ya Whatsapp ya CCM hasa Vijana wanacharuana kweli kweli. wapo wanaobaki na msimamo wa mwenyekiti kumtetea kuwa ni kawaida kwa wasomi na wanasiasa kukutana na kuzungumza huku wengine wakimuita msaliti na mnafiki wa Siasa.Wapo pia wanaofika mbali na kumhusisha na mpango wa kuuza taarifa za Chama kwa Upinzani hasa kuelekea Uchaguzi wa mwakani, na mbali zaidi wapo waliofikia hatua ya kudai kuwa anaagizwa na mmoja wa wanasiasa anayetetea nafasi yake….”mchongo uko hivi… tunajua namna anavyopewa support na mheshimiwa banaaaaa! we vipi? kwani si alipewa hela akakamilishe kozi yake ya uwakili? “Bila kutaja jina, kaka mkubwa alisikika akisema mpango ni kuhakikisha ushindi unapatikana. na hata ikitokea wananchi wakabadili gear hewani lazima kieleweke. Mwenyekiti anafanya mpango wa kuandaa mazingira CHADEMA ili mheshimiwa apate plan B.Baadhi ya makada watiifu wa CCM wamemshangaa sana mwenyekiti wa UVCCM kuweka kando taaluma yake na kuamua kuungana wahuni wa mtaani walioshindwa kujikomboa kifikra na kutumika kisiasa, mbaya zaidi ni kuuza info za Chama kwa wapinzani. Hiyo yote ni kudhoofisha utendaji wa serikali Sita,we unaishi wapi! Mnyukano ni mkali kwelikweli ila ukweli ni kwamba mbinu zote tumeshazijua,so hawana jipya hata kidogo. all in all let me tell you true sister kabisa mimi bahati mbaya sana sina unafiki hata akija Mheshimiwa Samia nitamweleza.

Hii Ngara ina wanasiasa wa ajabu sana kwetu hueziona upuuzi huu…….. hata wanavyonyukana kwenye groups ile ni danganya toto ili kumfurahisa bwana mkubwa. Yeye ndiye master mind wa michezo yoteUnajua!!! wanatengeneza hili leo,kesho wanaibuka na lengine.  Kikubwa sisi kama wana CCM hatukubali mamluki watatukwamisha kwenye maendeleo.Picha ziko wazi, na yeye mwenyewe aliweka maelezo ya kufurahia mazungumzo na Tundu Lissu then kwenye media zao anatuandikia story ya kuichafua tena CHADEMA na viongozi wake,C’mon!Udambwi! Udambwi! Udambwi nini bana kila kitu kiko wazi sista nisemeje ili uelewe…??????? ila we subili. Chama kinayaona yote. kama alivosema Paul makonda ipo siku watatajwa kwa majina na utakuwa mwisho wa usaliti wao.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *