Zaidi ya Miaka 35 Toka Apotelewa na Mwanae

By admin Apr 2, 2025
Aliyenyoshewa mshare: John William Ndenzako ni mzee wa zaidi ya miaka 60 anayeishi Kabanga mjini, wilayani Ngara. Anamtafuta binti yake pekee, Josphine.

John William Ndenzako, ni mkazi wa Kabanga wilayani Ngara ambaye hajabahatika kuwasiliana na binti yake aitwae Josephine John. Josephine John alizaliwa mwaka 1980 kwa familia ya Venance Nzeye wa Munanila, Manyovu, Tanzania. Josephine anatafutwa na baba yake.

Mzee Ndenzako ametembelea gazeti hili na kuomba asaidiwe kufikisha habari kwa jamii ya kwamba anamtafuta mtoto wake pekee. Mara ya mwisho walipotezana mwaka 1985 huko Urambo Tabora. Tafadhali sambaza hii link katika majukwa mbali mbali na kwenye facebook ama anayemfahamu ama anayejua alipo Josephine awasiliane na mzee John William Ndenzako kwa simu namba 078-617-0071.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This website stores cookies on your computer. These cookies are used to provide a more personalized experience and to track your whereabouts around our website in compliance with the European General Data Protection Regulation. If you decide to to opt-out of any future tracking, a cookie will be setup in your browser to remember this choice for one year.

Accept or Deny