MKUU WA MKOA WA KAGERA

By Na Mwandishi May 24, 2026

Huyu ndiye Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa sasa. Anaitwa Kanali Yahya Ramadhani Kido ambaye aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan mwezi Februari 2026 kuchukua nafasi ya Hajjat Fatma Abubakar Mwassa