Jimbo La Ngara

By admin Apr 23, 2024
MRATIBU WA MBUNGE MWENYE UWEZO KULIKO MBUNGE

Jimbo la Ngara linapitia mengi yakiwemo ya kupuuzwa na mengine ya kuchekesha.

Mwenye Jimbo wala hana taarifa yoyote,anasubili kazi ziratibiwe kitaalamu na Uncle Mgatha Matty.

Sisi situnajifunia sana wewe mwamba.

Uncle, mfundishe Siasa bwana mdogo mwambie hatuendi hivyo.

Nitafutie connection ya kuzungumza nae kabla sijasafiri.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *