MHESHIMIWA BAHEMU AFANYA ZIARA NGARA FARMERS

By Na Mwandishi Jul 4, 2026
  • Aitaka Ngara Farmers kutanguliza maslahi ya wananchi na wakulima mbele katika utekelezaji wa majukumu yake.
  • Aahidi kuongeza nguvu katika kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili Ngara Farmers ili kuboresha huduma kwa wanachama.
  • Asisitiza usimamizi madhubuti wa ugawaji wa miche ya kahawa ili kuhakikisha inawafikia wakulima walengwa kwa haki na uwazi.
  • Autaka uongozi kuwawajibisha wote wanaokwamisha maendeleo ya chama, hususan wanaosababisha madeni yasiyo ya lazima na wanaojihusisha na ubadhirifu wa rasilimali.