Uongozi wa CCM Ngara Wafikishia Pikipiki za Chama Kwenye Jengo la Mhe Ruhoro

By admin May 30, 2024
Pikipiki za CCM zafikia Nyumbani kwa Ruhoro Kana Kwamba CCM-Ngara Ipo Mfukoni Mwa Mbunge Ruhoro. CCM Ngara Hana Sehemu ya Kuhifadhi Mali ya Chama?

Mtasema Havinihusu Ila Nao ni Uhuni Kama Uhuni Mwingine

Chama kina ofisi zake, majengo yake na viongozi wake. 

Je ni sahihi kufikishia pikipiki za chama kwa Mbunge (jengo lake) wakati jengo la chama lipo ?

Nani yupo nyuma ya huo uratibu ?😁

Je nini lengo hasa la kufikishia pikipiki huko ?

Au ni wazo la Mratibu na cabinet ya machawa ?😁

Ila Ngara bhana, likiisha hili linazuka hili, mwaka huu kweli ni mwaka wa kufosi aisee😊.

Mwenyekiti wa CCM NGARA ameona ni baraka sana kuzindua jengo la Mbunge kwa baraka ya kuona pikipiki za chama.

Au ndo zinatambikiwa ili ziwazubaishe wasaka ubunge ?😁

Anyway, machawa hapa mmeokota point tatu muhimu, hongereni sana.

*ILA HADI HAPA* CCM NGARA NI DHAIFU SANA TENA SANA….!😊

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *